Imam Khamenei: Ustaarabu wa Kiislamu ni kinyume cha ustaarabu wa sasa wa kimaada

Katika ujumbe wake kwa kongamano la “Miaka 100 wa Kuanzishwa Hauza ya Qum nchini Iran,” Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: “Kazi muhimu zaidi ya Hauza na taasisi ya kielimu ya vyuo vikuu vya kidini, ni kufikisha ujumbe wa wazi na kuweka msingi wa ustaarabu mpya wa Kiislamu.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *