Uhispania: Tutaendelea kuisaidia UN kifedha kuchunguza jinai za kivita zilizofanywa na Israel Ghaza

Uhispania itachangia yuro 500,000 (zaidi ya $560,000) kusaidia uchunguzi wa Umoja wa Mataifa kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu na uhalifu wa kivita unaowezekana kuwa umefanywa huko Ghaza. Hayo yameelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispani Jose Manuel Albares.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *