Wataalamu wa Vatican: Papa ajaye aliunganishe Kanisa kutokana na mpasuko mkubwa uliopo

Wakati Kanisa Katoliki linajiandaa kwa mkutano wa kumchagua Papa mpya utakaoanza kesho Jumatanoo, wachambuzi wa Vatican wanasema, makadinali wako chini ya mashinikizo ya kumchagua papa mwenye uwezo wa kuziba mgawanyiko unaoendelea kukua kati ya pande mbili kuu za wanamageuzi na wanahafidhina ndani ya Kanisa hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *