Mawaziri Ghana watakaoshindwa kuweka wazi mali wanazomiliki ifikapo Mei 7 kufutwa kazi

Rais John Mahama wa Ghana amewaonya mawaziri na wateule wengine zaidi ya 40 wa serikali yake kuwa watafutwa kazi ikiwa watashindwa kuweka wazi mali wanazomiliki ifikapo kesho Jumatano ya tarehe 7 Mei, ambayo ndiyo siku ya mwisho iliyowekwa kwa ajili ya zoezi hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *