Mwakilishi wa Kudumu wa Russia katika Mashirika ya Kimataifa yenye makao yao mjini Vienna ametilia nguvu msimamo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu haki yake ya kumiliki mzunguko kamili wa fueli ya nyuklia na kusisitiza kwamba haki za kinyuklia zilizonazo nchi wanachama wa Mkataba wa Kuzuia Uenezaji Silaha za Atomiki (NPT) haziwezi kupingwa wala kukanushwa.
Related Posts
ICC yaifungulia mashtaka Hungary kwa kutomkamata Netanyahu
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai imefungua rasmi kesi dhidi ya Hungary baada ya serikali ya Budapest kukataa kutekeleza waranti wa…
Mahakama ya Kimataifa ya Jinai imefungua rasmi kesi dhidi ya Hungary baada ya serikali ya Budapest kukataa kutekeleza waranti wa…
Helikopta ya Urusi yaiangamizaq ngome ya Ukraine
Helikopta ya kundi la vita Kaskazini yaigonga ngome ya UkraineMgomo huo ulifanyika kwa makombora ya anga hadi angani ya C-8…
Helikopta ya kundi la vita Kaskazini yaigonga ngome ya UkraineMgomo huo ulifanyika kwa makombora ya anga hadi angani ya C-8…
Baada ya Trump kulegeza msimamo, sasa China yamwekea masharti
China imeiwekea Washington masharti ya mazungumzo baada ya vita vya biashara na ushuru vilivyoanzishwa na Donald Trump kushindwa kuwa na…
China imeiwekea Washington masharti ya mazungumzo baada ya vita vya biashara na ushuru vilivyoanzishwa na Donald Trump kushindwa kuwa na…