Yemen yashambulia Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion wa Israel kwa kombora la masafa marefu

Jeshi la Yemen limeulenga Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion karibu na Tel Aviv baada ya majaribio kadhaa ya jeshi la Israel kulizuia kushindikana. Kombora hilo lilipenya na kukwepa ngao nne za ulinzi wa anga na kutua katikati ya Uwanja wa Ben Gurion Jumapili, huku mifumo ya Arrow na THAAD ikishindwa kulizuia kombora hilo la hali ya juu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *