Sudan: Waasi wa RSF wameua raia zaidi ya 300 Kordofan

Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imevituhumu Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) kwa kufanya “mauaji ya halaiki” dhidi ya raia huko Al-Nahud katika jimbo la Kordofan Magharibi, kusini mwa nchi na kusababisha vifo vya watu 300.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *