Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu: Man Utd yajiunga na mbio za kumsaka Mbeumo

Manchester United inavutiwa ba Bryan Mbeumo, Rodrygo huenda akaondoka Real Madrid, Manchester City inamtaka Morgan Gibbs-White na Real Madrid ianamnyatia William Saliba.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *