Mtaalamu Mkuu wa UN:Maafisa wa EU washtakiwe kwa ushiriki wao katika jinai za kivita za Israel

Mtaalamu mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina ametoa wito wa kutaka maafisa waandamizi wa Umoja wa Ulaya (EU), akiwemo Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen na Mwakilishi Mkuu wa EU wa Masuala ya Kigeni na Sera ya Usalama Kaja Kallas, wafikishwe mahakamani kwa ushiriki wao katika uhalifu wa kivita unaofanywa na Israel huko Gaza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *