Kasi ya kriketi yaipa kicheko TCA

CHAMA cha Kriketi Tanzania (TCA) kinaiona kesho ya ngavu katika mchezo huo kutokana na kasi ya ukuaji katika mikoa mingi ya Tanzania.

Kasi hiyo ya kukuza vipaji imeonekana katika baadhi ya mikoa ya Pwani, Nyanda za Juu Kusini, Nyanda za Juu kaskazini, Kanda ya Kati na Kanda ya Ziwa kuanza kuzaa matunda na kuondoa ufalme wa Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa TCA, Dk Balakrishna Sreekumar alisema; “Chama cha Kriketi Duniani (ICC) kimeguswa sana na namna kriketi inavyoshamiri nchi nzima kwa kuwashirikisha vijana wengi wa shule za msingi, sekondari na vyuo katika zoezi linakwenda sambamba na uandaaji wa waku

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *