Msemaji wa jeshi la Sudan ametangaza leo kuwa wanamgambo wa kikosi cha RSF wamefanya shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) katika kambi ya jeshi la nchi hiyo na katika vituo vingine karibu na uwanja wa ndege wa Port Sudan. Hili ni shambulio la kwanza kuwahi kufanywa na wanamgambo wa RSF katika mji huo wa bandari wa mashariki.
Related Posts
UN yasisitizia haja ya kuendelea kuteguliwa mabomu Libya
Timu ya Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) imesema kuwa kuna wajibu wa kuendelea na zoezi la kutegua mabomu na…
Timu ya Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) imesema kuwa kuna wajibu wa kuendelea na zoezi la kutegua mabomu na…

‘Timu nyingi za mauaji’ zikimlenga Trump – mbunge wa Marekani
‘Timu nyingi za mauaji’ zikimlenga Trump – mbunge wa MarekaniWahusika wanaodaiwa wanaweza kuwa wanapokea usaidizi kutoka kwa “mole” ndani ya…
‘Timu nyingi za mauaji’ zikimlenga Trump – mbunge wa MarekaniWahusika wanaodaiwa wanaweza kuwa wanapokea usaidizi kutoka kwa “mole” ndani ya…
Canada na Ulaya zaja juu kuhusu vita vipya vya ushuru vya Trump
Katika hotuba yake Alkhamisi jioni, Waziri Mkuu wa Canada alitangaza kumalizika fungate na uhusiano wa kina wa nchi yake na…
Katika hotuba yake Alkhamisi jioni, Waziri Mkuu wa Canada alitangaza kumalizika fungate na uhusiano wa kina wa nchi yake na…