Mabadiliko ndani ya Ikulu ya White House, ni zaidi ya marekebisho madogo

Kufutwa kazi kwa Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Rais wa Marekani, Michael Waltz na naibu wake, Alex Wong, na kuteuliwa Marco Rubio, kama kaimu Mshauri wa Usalama wa Taifa, kumekuwa na mwangwi mkubwai.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *