Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, waandishi wa habari wanakabiliwa na hatari kila uchao na kwamba teknolojia mpya ya akili mnemba au AI inayotumika katika tasnia hiyo licha ya kuwa na manufaa inaibua hatari mpya pia kwenye uhuru wa kujieleza.
Related Posts
Nigeria yageukia Akili Mnemba (AI) ili kukabiliana na taarifa za uongo na kukuza lugha za ndani
Huku Akili Mnemba (AI) ikiendelea kuhuhisha sekta ya viwanda kote duniani, Nigeria nchi iliyo na uchumi mkubwa zaidi barani Afrika…

Israel yaua Wapalestina wengine karibu 80 Gaza, Guterres asikitika
Makumi ya Wapalestina wengine wameuawa shahidi katika mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza usiku kucha. Post Views:…

Israel yaendeleza ukatili Gaza, yaua shahidi Wapalestina wengine 33
Wapalestina wasiopungua 33 wameuawa shahidi katika muda wa saa 24 zilizopita huko Gaza, maafisa wa afya katika eneo hilo lililo…