Katika tukio la magendo ya binadamu, Polisi Afrika Kusini yaokoa Waethiopia 44 wakiwemo watoto 17

Polisi ya Afrika Kusini imetangaza kuwa imewaokoa raia 44 wa Ethiopia ambao wanadaiwa kuzuiliwa katika eneo tajiri la jiji la Johannesburg.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *