Duru za habari zimeripoti kuwa, usiku wa kuamkia leo, utawala wa Kizayuni wa Israel umefanya mashambulio yasiyopungua 20 ya anga dhidi ya viunga ya mji mkuu wa Syria Damascus, Dara’a, na Hama yakiwa ndio makali zaidi dhidi ya nchi hiyo tangu ulipoanza mwaka huu wa 2025.
Related Posts
Baadhi ya Waislamu waswali Iddi leo, wengine kuadhimisha sikukuu hii kesho
Baadhi ya Waislamu katika maeneo tofauti duniani wameswali Swala ya Iddul-Fitri leo Jumapili, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu…
Baadhi ya Waislamu katika maeneo tofauti duniani wameswali Swala ya Iddul-Fitri leo Jumapili, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu…

Vikosi vya jeshi la majini la Yemen vimeanzisha mashambulizi makubwa kuwahi kutokea dhidi ya meli za kivita za Marekani katika Bahari Nyekundu
Vikosi vya jeshi la majini la Yemen vimeanzisha mashambulizi makubwa kuwahi kutokea dhidi ya meli za kivita za Marekani katika…
Vikosi vya jeshi la majini la Yemen vimeanzisha mashambulizi makubwa kuwahi kutokea dhidi ya meli za kivita za Marekani katika…
Araghchi: Iran iko tayari kwa mazungumzo ya ‘kujenga’, ‘yasiyo na upendeleo’ na Troika ya EU
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema Tehran iko tayari kufanya mazungumzo “ya kujenga na yasiyo na…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema Tehran iko tayari kufanya mazungumzo “ya kujenga na yasiyo na…