Araghchi asisitiza: Iran ina haki ya kumiliki mzunguko kamili wa fueli ya nyuklia

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesema, kurudia kila mara kauli za uwongo hakubadilishi ukweli wa kimsingi na kueleza bayana kwamba, Iran, iiwa ni miongoni mwa nchi zilizotia saini mkataba wa NPT, ina haki ya kumiliki mzunguko kamili wa fueli ya nyuklia.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *