China imeiwekea Washington masharti ya mazungumzo baada ya vita vya biashara na ushuru vilivyoanzishwa na Donald Trump kushindwa kuwa na taathira zilizotarajiwa mbali na kusababisha vurugu katika masoko ya fedha ya Marekani, jambo ambalo limemlazimisha Trump alegeze tena misimamo na kudai anataka mazungumzo na Beijing.
Related Posts
Vikosi vya Yemen vimeshambulia maeneo ya jeshi la Israel
Vikosi vya Yemen vimeshambulia maeneo ya jeshi la Israel Majeshi ya Yemen yamechukua hatua za moja kwa moja dhidi ya…
Vikosi vya Yemen vimeshambulia maeneo ya jeshi la Israel Majeshi ya Yemen yamechukua hatua za moja kwa moja dhidi ya…
Russia: Tuko tayari kuunga mkono uhuru wa kidijitali wa Afrika
Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya…
Russia imesema iko tayari kupiga jeki nchi za Afrika katika kuendeleza teknolojia zinazohakikisha kuwa kuna utoshelevu na zinaheshimu mamlaka ya…
“Iran imeazimia kweli kufikia makubaliano katika mazungumzo ya nyuklia”
Rais wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko “jadi” katika mazungumzo yake yasiyo ya moja kwa moja na Marekani…
Rais wa Iran amesisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko “jadi” katika mazungumzo yake yasiyo ya moja kwa moja na Marekani…