Ukanda wa Gaza uko katika janga kubwa la kibinadamu. Katika miezi iliyopita, kushadidi mzingiro wa utawala haramu wa Israel katika eneo hilo sambamba na mashambulizi ya mara kwa mara ya angani na nchi kavu, na vizuizi vikali vya misaada ya kibinadamu vilivvyowekwa na utawala huo wa Kizayuni vimeharibu si tu miundombinu ya msingi ya eneo hilo, bali pia vimeweka hatarini matumaini ya kuendelea kuishi kwa malaki ya raia wa Palestina.
Related Posts
Ramadhani, Mwezi wa Dhifa ya Mwenyezi Mungu (5)
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na…
Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na…

Mashirika ya kutetea haki za binadamu yachukuwa hatua za kisheria dhidi ya Uingereza kuhusiana na mauzo ya silaha kwa utawala wa Israel
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yachukuwa hatua za kisheria dhidi ya Uingereza kuhusiana na mauzo ya silaha kwa utawala…
Mashirika ya kutetea haki za binadamu yachukuwa hatua za kisheria dhidi ya Uingereza kuhusiana na mauzo ya silaha kwa utawala…
Radiamali ya Hamas kufuatia kuuliwa shahidi “Abdel-Latif al-Qanoua” katika hujuma ya Israel
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeashiria katika taarifa yake kuhusu kuuawa shahidi Abdel-Latif al-Qanoua Msemaji wa harakati…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS imeashiria katika taarifa yake kuhusu kuuawa shahidi Abdel-Latif al-Qanoua Msemaji wa harakati…