Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, Amir Saeed Iravani, amewatumia barua Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, akielezea kuwa madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kwamba Iran iko “katika hatua ya mwisho” ya kuzalisha silaha za nyuklia ni yasiyo na msingi na kisiasa ni hatua isiyo ya uwajibikaji. Iran haijawahi kuwa na nia ya kutafuta silaha za nyuklia na haijabadilisha sera yake ya ulinzi.
Related Posts
Watalii kadhaa wafa maji baada ya nyambizi kuzama katika Bahari Nyekundu
Raia sita wa Russia wamepoteza maisha huku watalii 39 wa kigeni wakiokolewa wakati nyambizi ya kitalii ilipozama kwenye eneo la…
Raia sita wa Russia wamepoteza maisha huku watalii 39 wa kigeni wakiokolewa wakati nyambizi ya kitalii ilipozama kwenye eneo la…
Sudan Kusini yakanusha uwepo wa Wanajeshi wa Uganda
Wizara ya Habari ya Sudan Kusini imekanusha madai ya uwepo wa wanajeshi wa Uganda nchini humo, baada ya kutangazwa kuwa…
Wizara ya Habari ya Sudan Kusini imekanusha madai ya uwepo wa wanajeshi wa Uganda nchini humo, baada ya kutangazwa kuwa…
Kenya yatuma wanajeshi zaidi nchini Haiti
Kenya imetuma maafisa 217 zaidi wa polisi nchini Haiti, kama sehemu ya jeshi la kimataifa la kukabiliana na ghasia za…
Kenya imetuma maafisa 217 zaidi wa polisi nchini Haiti, kama sehemu ya jeshi la kimataifa la kukabiliana na ghasia za…