Tetesi za Soka Ulaya: Rodrygo kuondoka Madrid?Barca, Juve zamtaka Ederson

Mshambuliaji wa Brazil Rodrygo anafikiria kuondoka Real Madrid, huku Manchester United na Juventus wakiwania kumsajili kiungo wa Atalanta Ederson, na mshambuliaji wa England Harry Kane akitarajiwa kusalia Bayern Munich.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *