Wito wa hivi karibuni wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kutaka meli za nchi hiyo zipitie bila malipo kwenye Mfereji wa Suez umezusha shutuma nyingi nchini Misri, ambapo wataalamu wa masuala ya sheria, viongozi wa kisiasa na wananchi wamekosoa vikali matamshi hayo, wakisema kuwa hayana msingi kisheria, na ni tishio kubwa kwa nidhamu ya kimataifa.
Related Posts
HAMAS yakaribisha mpango wa Waarabu wa kuijenga upya Gaza
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekaribisha mpango wa kuikarabati na kuijenga upya Gaza, uliopitishwa katika mkutano wa…
Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imekaribisha mpango wa kuikarabati na kuijenga upya Gaza, uliopitishwa katika mkutano wa…
Hujuma za waasi mashariki mwa Kongo zimeuwa watu 7,000 mwaka huu
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa watu zaidi ya elfu saba wameuawa mwaka huu wakati waasi…
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa watu zaidi ya elfu saba wameuawa mwaka huu wakati waasi…
Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti wa Al Aqsa, eneo lake lafanana na ‘kambi ya kijeshi’
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena ua wa Msikiti wa Al-Aqsa huku wakisindikizwa na polisi wa utawala ghasibu wa…
Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena ua wa Msikiti wa Al-Aqsa huku wakisindikizwa na polisi wa utawala ghasibu wa…