Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ameyataja matamshi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni hila isiyo na thamani inayolenga kuvuruga mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani na kusema: “Hata asilimia ndogo ya uchokozi dhidi ya Iran itatambuliwa kuwa ni sawa na kuwasha moto pipa la baruti ambalo litalipua katika eneo hili.”
Related Posts

Biden anamwita Trump ‘mshindwa’
Biden anamwita Trump ‘mshindwa’ Marekani “inashinda” chini ya uongozi wa Kidemokrasia, rais aliye madarakani amedai Rais wa zamani Donald Trump…

Mbunge: Israel kamwe haitopata ushindi; Ghaza itakuwa huru
Mbunge mmoja wa zamani wa Bunge la Ulaya, Bi Clare Daly ametoa ujumbe mzito wa kushikamana na Palestina wakati aliposhiriki…

Marekani yatuma wanajeshi zaidi huku Israel ikiishambulia Lebanon
Marekani yatuma wanajeshi zaidi huku Israel ikiishambulia LebanonIDF inajiandaa kwa “awamu zinazofuata” za operesheni yake ya kijeshi dhidi ya Hezbollah…