Uhamiaji: Zaidi ya watu 72,000 wamefariki au kutoweka tangu 2014, kulingana na UN

Zaidi ya watu 72,000 wamefariki au kutoweka wakijaribu kutekeleza ndoto zao kufika walikotaka kweda kote ulimwenguni katika muongo mmoja uliopita, wengi wao wakiwa katika nchi zilizokumbwa na mzozo, Umoja wa Mataifa umesema Jumanne, Aprili 29.

Imechapishwa:

Matangazo ya kibiashara

“Tangu mwaka 2014, zaidi ya nusu ya watu 72,000 au kutoweka wakati wa wakijaribu kwenda walikotanka kwenda kutafuta maisha bora.  Vifo hivyo au kutoweka huko kulitokea katika nchi zilizokumbwa na ghasia au maafa, ikiwa ni pamoja na Libya, Iran na Myanmar,” Umoja wa Mataifa umesema katika ripoti mpya.

Habari zaidi inakujia…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *