Jeshi la Marekani limeripoti siku ya Jumatatu kwamba mwanamaji wa Jeshi la Marekani alipata majeraha madogo wakati ndege ya kivita ya F-18 ilipoanguka kutoka kwa meli ya kubeba ndege ya Marekani katika Bahari Nyekundu, saa chache baada ya Wahouthi kudai “kuishambulia meli hiyo” ya USS Truman.
BBC News Swahili