Katika Mkutano wa Tatu wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika, ulioanza katika Ukumbi wa Mikutano ya Wakuu wa Nchi za Kiislamu kwa ushiriki wa wawakilishi kutoka nchi 38 na wajumbe 51 rasmi, Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, alisisitiza kuwa Iran iko tayari kushirikiana na nchi za Afrika kwa kuwezesha nchi za Afrika zinufaika mafanikio ya Iran katika sekta za afya, biashara, viwanda, kilimo, usalama, amani na utulivu.
Related Posts
Iran ilishambulia makao makuu ya Mossad, vituo viwili vya anga vya Israel, anasema mkuu wa majeshi
Iran ilishambulia makao makuu ya Mossad, vituo viwili vya anga vya Israel, anasema mkuu wa majeshiIran pia ilishambulia rada za…
Iran ilishambulia makao makuu ya Mossad, vituo viwili vya anga vya Israel, anasema mkuu wa majeshiIran pia ilishambulia rada za…
Chicago yamuenzi mtoto Muislamu Mpalestina wa miaka 6 aliyeuliwa kikatili kwa kuchomwa kisu mara 26
Viongozi wa mji wa Plainfield ulioko katika jimbo la Chicago nchini Marekani, wameamua kuupa uwanja wa michezo na burudani kwa…
Viongozi wa mji wa Plainfield ulioko katika jimbo la Chicago nchini Marekani, wameamua kuupa uwanja wa michezo na burudani kwa…
UNHCR: Tulihudumia makumi ya maelfu ya wakimbizi mwaka 2024 nchini Libya
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema kwenye ripoti yake ya karibuni kabisa kwamba, mwaka uliopita wa…
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema kwenye ripoti yake ya karibuni kabisa kwamba, mwaka uliopita wa…