Leo ni siku ya maombolezo nchini kufuatia mripuko ulilotokea katika Bandari ya Shahidi Rajaee

Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa, leo Jumatatu ni siku ya maombolezo nchini kote kufuatia tukio la kusikitisha la mripuko uliotokea kwenye Bandari ya Shahid Rajaee iliyoko mjini Bandar Abbas, katika mkoa wa kusini wa Hormozgan.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *