Wafanyakazi karibu 300 wa Kampuni ya Google nchini Uingereza wamepinga uamuzi wa kampuni hiyo wa kuuza teknolojia ya akili mnemba (AI) kwa makampuni ya usalama yenye uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel na kutaka hatua hiyo isitishwe.
Related Posts
Mkuu wa IAEA asema ana mtazamo chanya kwa mazungumzo ya nyuklia ya Iran na Marekani
Rafel Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, IAEA amesema katika mahojiano na gazeti la Italia…

IRGC: Tutazindua karibuni kombora la ‘supersonic cruise’
Kamanda Mkuu wa Kikosi cha Wanamaji cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesema kuwa, Jamhuri…

Jaji wa Marekani apasisha kufukuzwa mwanaharakati Mahmoud Khalil kwa sababu ya Palestina
Jaji wa mahakama ya Louisiana nchini Marekani amepasisha uamuzi wa kundolewa nchini humo mwanaharakati Mahmoud Khalil, mhitimu wa Chuo Kikuu…