Mjibizo wa OIC kwa hatua ya Marekani ya kuiondolea UNRWA kinga ya kisheria

Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imesema, imesikitishwa na hatua ya Marekani ya kuliondolea kinga ya kisheria Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina UNRWA na kuitaka Washington iutafakari upya uamuzi wake huo na kurejesha ufadhili wake wa kifedha kwa shirika hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *