Takribani watu 14 wapoteza maisha, 750 wajeruhiwa kwa mlipuko mkubwa katika bandari kuu ya Iran

Takribani watu 14 wamepoteza maisha na 750 kujeruhiwa katika mlipuko mkubwa katika bandari moja muhimu ya Iran, mamlaka zilisema.

​  BBC News Swahili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *