Msemaji wa vikosi vya ulinzi vya Yemen ametangaza kuwa vikosi hivyo imekishambulia kwa kombora kituo cha jeshi la anga la utawala wa Kizayuni cha Navatim katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu zilizopachikwa jina bandia la Israel.
Related Posts
Uungaji mkono wa viongozi wa Afrika kwa Palestina na kulaaniwa vikali jinai za utawala wa Kizayuni
Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) wametangaza kuiunga mkono Palestina na kulaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni. Mkutano wa…
Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) wametangaza kuiunga mkono Palestina na kulaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni. Mkutano wa…
Mawaziri wa Afya wa Afrika wazindua kampeni ya chanjo ya Polio katika eneo la Bonde la Ziwa Chad
Mawaziri wa afya wa Afrika kutoka eneo la Bonde la Ziwa Chad wamezindua kampeni ya chanjo yenye lengo la kuwalinda…
Mawaziri wa afya wa Afrika kutoka eneo la Bonde la Ziwa Chad wamezindua kampeni ya chanjo yenye lengo la kuwalinda…
Katibu Mkuu wa UN asema ameshtushwa na mashambulio mapya ya Israel Ghaza
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, ameshtushwa na mashambulizi ya hivi karibuni ya anga yaliyofanywa na utawala…
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema, ameshtushwa na mashambulizi ya hivi karibuni ya anga yaliyofanywa na utawala…