Mechi nne za uamuzi mgumu Yanga

YANGA inasikilizia mechi nne zilizobaki za Ligi Kuu Bara kufanya uamuzi mgumu ndani ya benchi lake la ufundi.

Uamuzi huo ni wa kufanya mabadiliko ya benchi linaloongozwa na Kocha Miloud Hamdi.

Licha ya kuiongoza Yanga kwenye mechi tisa za Ligi Kuu Bara akishinda nane na sare moja, lakini kwa hali ilivyo Hamdi ni kama anahesabu siku za kubaki kikosini.

Mbali na ligi, pia Hamdi ameifikisha Yanga nusu fainali ya Kombe la FA, ambapo ipo katika njia nzuri ya kutetea mataji mawili iliyobeba msimu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *