UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya za wakimbizi wa Kongo wanaoingia Burundi

Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limesema kuongezeka idadi ya wakimbizi wanaokimbia mzozo mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwenda Burundi kunaweka “shinikizo kubwa kwa mashirika ya misaada yanayojitahidi kukabiliana na mzozo unaozidi kuwa mbaya huku kukiwa na uhaba wa rasilimali.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *