Washindi wa Tuzo ya Amani ya Nobel watoa wito wa kukomeshwa mauaji ya kimbari huko Gaza

Washindi wanane wa Tuzo ya Amani ya Nobel wametoa wito wa dharura la kukomeshwa mara moja mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel huko Gaza na kuhitimisha kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *