Rais wa Misri kwa mara nyingine apinga kuhamishwa Wapalestina Gaza

Rais wa Misri, Abdel Fattah al-Sisi jana Ijumaa alisisitiza kwa mara nyingine tena kwamba nchi hiyo ya Kiarabu “inapinga kikamilifu” kufurushwa Wapalestina kwenye makazi yao na kuhamishiwa katika nchi nyingine, na kuvitaja vita vya Gaza kuwa “janga la kibinadamu.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *