Ofisi ya Vyombo vya Habari ya Serikali ya Gaza imesema, kutokana na mauaji ya mwanahabari Saeed Amin Abu Hassanein, idadi ya waandishi wa habari wa Palestina waliouawa shahidi na Israel imeongezeka hadi 212, tangu vita vya mauaji ya kimbari vilipoanza katika eneo hilo lililozingirwa mnamo Oktoba mwaka 2023.
Related Posts
Ayatullah Seddiqi: Marekani haina hadhi ya kuwa na mazungumzo ya moja kwa moja na Iran
Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema kuwa, madai ya rais wa Marekani ya kufanya mazungumzo…
Imam wa muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema kuwa, madai ya rais wa Marekani ya kufanya mazungumzo…
Wafanyabiashara watakiwa kutopandisha bei za bidhaa mwezi wa Ramadhan
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa…
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza wafanyabiashara kujiandaa na Mwezi Mtukufu wa…
Yemen yaangusha ndege ya 15 ya kisasa ya kijasusi ya Marekani
Jeshi la Yemen limetangaza kuangusha kwa mafanikio ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper baada…
Jeshi la Yemen limetangaza kuangusha kwa mafanikio ndege ya kijasusi isiyo na rubani ya Marekani aina ya MQ-9 Reaper baada…