Umoja wa Mataifa umetaja hukumu zilizotolewa dhidi ya makumi ya watu wakiwemo viongozi wa upinzani katika kesi ya “njama dhidi ya usalama wa taifa” nchini Tunisia kuwa ni “kurudisha nyuma haki na utawala wa sheria,” ukieleza kuwa kulikuwa na “matashi ya kisiasa” nyuma ya maamuzi hayo.
Related Posts
Waafrika Kusini ‘weupe’ wakataa ‘ofa’ ya kuwa wakimbizi Marekani
Raia wa Afrika Kusini wenye asili ya Uholanzi na nchi nyingine za Ulaya wamepuuzilia mbali mwito wa Rais Donald Trump,…
Raia wa Afrika Kusini wenye asili ya Uholanzi na nchi nyingine za Ulaya wamepuuzilia mbali mwito wa Rais Donald Trump,…
Polisi: Watu 600 wametoroka kizuizini Sudan Kusini
Polisi nchini Sudan Kusini imesema watu 600 waliokuwa wakizuiliwa baada ya kukamatwa kwa kushiriki maandamano ya ghasia na uporaji wa…
Polisi nchini Sudan Kusini imesema watu 600 waliokuwa wakizuiliwa baada ya kukamatwa kwa kushiriki maandamano ya ghasia na uporaji wa…
Baghaei: Misimamo inayogongana ya Marekani ni ishara ya kutokuwa na nia njema na ya dhati katika mazungumzo
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Esmail Baghei ametoa mjibizo kwa msimamo wenye…
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Esmail Baghei ametoa mjibizo kwa msimamo wenye…