Mhairiri Mkuu wa Middle East Eye: Harakati ya HAMAS katu haitasalimu amri

David Hearst, Mhariri Mkuu wa tovuti ya habari ya Middle East Eye amesema, Muqawama ndio njia pekee iliyobaki kwa ajili ya kukomesha ughasibu na kukaliwa kwa mabavu ardhi za Palestina na utawala wa Kizayuni wa Israel.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *