“Msimamo wa ujasiri wa Papa Francis dhidi ya dhulma hautasahaulika”

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Masuala ya Kisiasa wa Iran amesema, mchango wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani aliyeaga dunia hivi karibuni, Papa Francis ambaye daima alikuwa mstari wa mbele kusaidia wanyonge na wahanga wa unyanyasaji na ukatili, na vile vile misimamo yake ya kijasiri dhidi ya ukandamizaji, dhulma, ubaguzi na unyanyasaji kamwe haitasahaulika.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *