Iran yaonya; Israel inataka ‘kuvuruga diplomasia’ kupitia hujuma, mauaji ya kigaidi

Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi ameonya kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel na makundi fulani yenye maslahi maalumu huenda yakajaribu “kuvuruga diplomasia” kupitia vitendo vya hujuma na mauaji ya kigaidi wakati huu ambapo Jamhuri ya Kiislamu na Marekani zinafanya mazungumzo ya kufikia makubaliano kuhusu shughuli za nyuklia za taifa hili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *