Iran: Vikwazo vipya ni ishara ya ‘kutokuwa na nia njema’ Marekani katika mazungumzo

Iran imelaani vikali vikwazo vipya vya “haramu” ilivyowekewa na Marekani ikisisitiza kuwa vinakinzana na madai ya Washington ya kuwa na nia ya dhati ya kufanya mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *