Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeeleza kuridhishwa kwake na hatua ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kulaani mashambulizi yanayotekelezwa na Jeshi la Yemen dhidi ya ngome za Isarel katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu na kusema hasira yake ni ushahidi wa juhudi zenye mafanikio katika kuunga mkono Wapalestina.
Related Posts
Mripuko wa bomu lililotegwa ardhini waua watu 26 kaskazini mashariki mwa Nigeria
Watu wapatao 26 wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa wakati magari mawili yalipokanyaga bomu la kutegwa ardhini katika jimbo la Borno…
Watu wapatao 26 wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa wakati magari mawili yalipokanyaga bomu la kutegwa ardhini katika jimbo la Borno…
Ansarullah waapa kuchukua hatua ya kijeshi iwapo mpango wa Trump dhidi ya watu wa Gaza utatekelezwa
Kiongozi wa harakati ya Ansarulllah nchini Yemen, Abdul-Malik al-Houthi, ameapa kuchukua hatua za kijeshi mara moja iwapo Marekani na Israel…
Kiongozi wa harakati ya Ansarulllah nchini Yemen, Abdul-Malik al-Houthi, ameapa kuchukua hatua za kijeshi mara moja iwapo Marekani na Israel…
Wanahabari Nigeria wataka Israel iwekewe vikwazo vya mafuta, gesi
Mwenyekiti wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa Nigeria (NUJ), Ibrahim Muhammad, ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuungana na…
Mwenyekiti wa Muungano wa Waandishi wa Habari wa Nigeria (NUJ), Ibrahim Muhammad, ametoa wito kwa nchi za Kiislamu kuungana na…