Russia yapendekeza kuanzisha kituo cha diplomasia ya chakula katika BRICS

Russia imependekeza kuanzishwa kituo maalumu cha diplomasia ya chakula ili kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na usalama wa chakula miongoni mwa nchi wanachama wa kundi la BRICS.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *