Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limetoa tamko kwa mnasaba wa kuadhimisha mwaka wa 46 wa kuasisiwa kwake kwamba liko kwenye utayari wa kiwango cha juu kabisa cha utekelezaji operesheni za kjeshi, likisisitizia dhamira yake isiyotetereka ya kuilinda Jamhuri ya Kiislamu na kukabiliana na adui yeyote.
Related Posts
Wahamiaji 20 wa Ethiopia wafa maji baada ya mashua yao kupinduka nchini Yemen
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, wahamiaji 20 wa Ethiopia, wakiwemo wanawake tisa na wanaume 11, wamekufa maji…
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limetangaza kuwa, wahamiaji 20 wa Ethiopia, wakiwemo wanawake tisa na wanaume 11, wamekufa maji…
Afrika Kusini yatoa mwito wa kuimarishwa mfumo wa biashara wa pande nyingi kuikabili Marekani
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuimarisha mfumo wa biashara wa pande nyingi ambao…
Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametoa mwito kwa jamii ya kimataifa kuimarisha mfumo wa biashara wa pande nyingi ambao…
Mashambulizi ya RSF magharibi mwa Khartoum yauwa raia 4 na kujeruhi wengine 30
Mamlaka ya serikali za mitaa huko Sudan imetangaza leo Jumatatu kuwa mashambulizi ya mizinga ya wanamgambo wa kikosi cha RSF…
Mamlaka ya serikali za mitaa huko Sudan imetangaza leo Jumatatu kuwa mashambulizi ya mizinga ya wanamgambo wa kikosi cha RSF…