Walowezi wa Kizayuni wavamia tena Msikiti wa Al Aqsa, eneo lake lafanana na ‘kambi ya kijeshi’

Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena ua wa Msikiti wa Al-Aqsa huku wakisindikizwa na polisi wa utawala ghasibu wa Israel Baitul Muqaddas Mashariki inayokaliwa kwa mabavu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *