Idadi ya vifo Gaza yafikia 51,240, Israel yaendeleza mashambulizi ya kinyama

Idadi ya mashahidi wa Palestina waliouawa shahidi kufuatia mashambulio ya kinyama ya utawala ghasibu wa Israel inazidi kuongezeka huku utawala huo haramu ukikithirisha hujuma zake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *