Papa mpya anachaguliwa vipi?

Mwanaume yeyote Mkatoliki aliyebatizwa anaweza kuchaguliwa kuwa Papa. Hata hivyo, kazi hiyo kikawaida huenda kwa mmoja wa maofisa wakuu katika Kanisa Katoliki, anayeitwa Kadinali. Pia makadinali ndio wanaomchagua Papa mpya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *