Mkuu wa IAEA asema ana mtazamo chanya kwa mazungumzo ya nyuklia ya Iran na Marekani

Rafel Grossi, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, IAEA amesema katika mahojiano na gazeti la Italia la Repubblica kwamba ana matumaini kuhusu mazungumzo ya nyuklia yanayoendelea kati ya Iran na Marekani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *