Araghchi: Wamarekani hawakuzungumzia suala jengine ghairi ya kadhia ya nyuklia

Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati yanayofanyika kati ya Iran na Marekani kwa kusema: “mazungumzo yetu yanahusu masuala ya nyuklia na hatutakubali maudhui nyingine yoyote”.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *