Jeshi la Marekani limeripotiwa kutuma misafara mingi ya malori yaliyobeba wanajeshi, silaha na zana kivita, pamoja na suhula za kilojistiki kutoka ndani kabisa ya Syria hadi katika kambi kubwa ya anga ya Ain al-Asad katika jimbo la Anbar nchini Iraq, ambayo ina wanajeshi na wakufunzi wa Marekani.
Related Posts
Mateso na mauaji ya raia Syria; Nani awa kuzihami jamii za wachache?
Licha ya maagizo ya mara kwa mara yanayotolewa makundi yenye silaha yanayowataka wanamgambo wao kufanya mauaji kwa siri dhidi ya…
Licha ya maagizo ya mara kwa mara yanayotolewa makundi yenye silaha yanayowataka wanamgambo wao kufanya mauaji kwa siri dhidi ya…
ANC: Afrika Kusini haitakubali Kutishwa na Marekani
Naibu Katibu Mkuu wa kwanza wa chama tawala cha Afrika Kusini, ANC, Nomvula Mokonyane, amekemea wanachama wa chama cha Democratic…
Naibu Katibu Mkuu wa kwanza wa chama tawala cha Afrika Kusini, ANC, Nomvula Mokonyane, amekemea wanachama wa chama cha Democratic…
Magharibi iliunga mkono kikamilifu shambulio la Ukraine kwenye Mkoa wa Kursk wa Urusi – Wizara ya Ulinzi
Magharibi iliunga mkono kikamilifu shambulio la Ukraine kwenye Mkoa wa Kursk wa Urusi – Wizara ya UlinziKama Naibu Waziri wa…
Magharibi iliunga mkono kikamilifu shambulio la Ukraine kwenye Mkoa wa Kursk wa Urusi – Wizara ya UlinziKama Naibu Waziri wa…