Wanajeshi 70 wa Benin wauawa katika shambulio la kigaidi

Kundi la kigaidi la Jama’at Nusrat al-Islam wal-Muslimin (JNIM) lenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al-Qaeda limetangaza kuwa wapiganaji wake wameua wanajeshi 70 katika mashambulizi ddii ya vituo viwili vya kijeshi kaskazini mwa Benin.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *